MAMBO MAGUMU SIMBA

FULL TIME: #NBCPL 🇹🇿 🏟️ :: Ilulu, Lindi NAMUNGO FC 2 – 2 SIMBA SC ⚽ Masawe 8’⚽ Kapombe 42’⚽ Chirwa 60’⚽ Kibu Dennis 78’Shughuli imemalizika katika dimba la Ilulu Lindi hakuna mbabe kati ya Wenyeji Namungo FC dhidi ya Simba SC ni sare ya 2-2. Timu zote zimegawana pointi Simba SC ikifikisha alama 43